Waziri Mkuu akatisha ziara, kifo cha DED
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekatisha ziara yake ya siku sita mkoani Simiyu, baada ya kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa (DED), Trasias Kagenzi kilichotokea juzi usiku.Add a comment Read more...

No comments:
Post a Comment