Mpoto kuzindua video ya wimbo Sizonje kwa kuwatia moyo wanafunzi waliofeli kidato cha nne
Muimbaji maarufu wa mashairi nchini, Mrisho Mpoto Jumamosi
Machi 5, 2016 atazindua video ya wimbo wake mpya Sizonje katika ukumbi
wa Golden Jubilee jijini Dar es Salaam. Akizungumza na mwandishi wetu,
Mpoto alisema mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa Mh. Waziri, wa
Habari, Utamaduni, SanaanaMichezo Nape Nnauye. Alisema kuwa kabla ya
uzinduzi huo kutakuwa na mjadala kuhusu ‘KufeliElimuSioKufeliMaisha’ ila
kinachotakiwa ni kutokata tamaa. Ikiwa na kauli mbiu ya INUKA ENDELEA.
Alisema...

No comments:
Post a Comment