kuvunjika kwa ndoa ya rayuu.mashehe waingilia kati
Alice Bagenzi ‘Rayuu na mumewe siku ya ndoa yao.
Stori: Mwandishi Wetu, Wikienda
DAR ES SALAAM: Baada ya uvumi kuwa staa
wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ ameachika kwenye ndoa yake ambayo
imedumu kwa siku nne tu huku chanzo kikiwa ni familia ya mwanaume,
hatimaye mashehe wameamua kuingilia kati kuinusuru ndoa hiyo.

Kutokana na sekeseke hilo lililoacha
historia ya kipekee, mashehe mbalimbali walidaiwa kuingilia kati na
kuilaumu familia ya mwanaume huyo kuwa ilienda kinyume na matakwa ya
Kiislam.

Rayuu yeye alisema kuwa alisikitishwa na mwanaume huyo ambaye alimwambia kuwa familia ndiyo iliyoamua iwe hivyo.
No comments:
Post a Comment