Mawaziri watatu kutatua mipaka Simiyu, Serengeti
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema atawatuma mawaziri watatu waende mkoa wa Simiyu ili wakae na uongozi wa kila wilaya pamoja na wananchi ili kubaini tatizo la mipaka baina ya wilaya hizo na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa vijiji vya Mwakaluba na Mwandoya akiwa kwenye si...Read more...

No comments:
Post a Comment