ALIYEKUWA Diwani pekee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika halmashauri
ya Meru, mkoani Arusha, Naftali Mbise jana amezikwa na umati wa watu,
viongozi wa dini pamoja na vyama mbalimbali vya siasa akiwemo Mbunge wa
Arumeru Mashariki, Joshua Nassari. 0 Comments
Soma zaidi...
WATU saba wamekufa na wengine 10 k u j e r u h i w a baada ya gari
walilokuwa wanasafiri nalo aina ya Mitsubishi Fuso kupasuka tairi la
mbele na kugonga kingo za barabara katika barabara kuu ya
Igunga-Singida. 0 Comments
Soma zaidi...
SHIRIKA la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO)
limebaini wizi mkubwa wa maji kwa mtindo wa ‘nyoka’ kwenye mitaa
mbalimbali ya jiji hilo. 0 Comments
Soma zaidi...
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda
Tanzania (TIRDO), Profesa Mkumbuka Mtambo ameiomba Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira iwasaidie waweze kupata miradi
mikubwa ya maendeleo. 0 Comments
Soma zaidi...
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana ameliagiza jeshi la polisi
mkoani hapa kuhakikisha wanawatia mbaroni wote waliohusika na mauaji ya
askari wawili walinzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Halotel na kupora
bunduki aina ya SMG. 0 Comments
Soma zaidi...
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven Kebwe, amezitaka
halmashauri za mkoa huo kuongeza kasi ya kukusanya mapato ya ndani na
kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ili fedha hizo zisaidie kuboresha
huduma za jamii. 0 Comments
Soma zaidi...
KIJANA mwenye umri wa miaka 25 aliyefahamika kwa jina la Makungu
Kaneke, ameuawa kwa kuchomwa na mkuki akituhumiwa kuhusika na vitendo
vya ushirikina. 0 Comments
Soma zaidi...
UKAGUZI wa kushitukiza uliofanywa juzi na jeshi la polisi kwa
kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini
(SUMATRA) umefanikiwa kukamata mabasi 48 ya abiria baada ya kukutwa na
makosa mbalimbali ya barabarani. 0 Comments
Soma zaidi...
VIGOGO watano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) mkoani
Arusha wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za ubadhirifu wa mabilioni ya
fedha za mamlaka hiyo. 0 CommentsRead more...
No comments:
Post a Comment