Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto
ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na
mwanaume mwenye tabia za kike kama zako ๐ inatakiwa ujiulize una tatizo
gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo
vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila
nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da
Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi
na wewe Ligi zetu hazifanani ๐ vitu navyokula mimi wewe utaishia
kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi
najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya
kwanza hujamaliza ๐ Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi
unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya
kuja kufuata dodoki ๐๐nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako
Atleast upige na Vishoo baba ๐๐ Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana
nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja
nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi
๐Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nen

No comments:
Post a Comment