Thursday, 4 August 2016

Sunday, 27 March 2016

  • Pause
  •  
  • Previous
  •  
  • Next
1/4
Mwarobaini wa kesi waja

Mwarobaini wa kesi waja

WIZARA ya Katiba na Sheria imeeleza hatua za kukomesha ucheleweshaji na usikilizaji wa kesi za jinai ; na kusema itakuwa ikitaka maelezo ya kisheria ya muda mahususi wa kumaliza kesi husika bila kisingizio cha upelelezi kutokamilika.
0 Comments Read more...

Monday, 14 March 2016

SMZ kushughulikia wahalifu

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema itapambana na watu wanaofanya matukio ya hujuma ikiwemo kuharibu huduma za jamii kwa wananchi. Aidha, watu wawili wanashikiliwa na Polisi kisiwani Pemba kwa uchunguzi zaidi kutokana na kutuhumiwa kuhusika na uchomaji moto kwa nyumba za wakazi pamoja na kituo cha afya na tawi la CCM Tibirinzi.
0 Comments

Ndalichako: Mikopo ya HESLB ilipwe

SERIKALI imeendelea kuwasisitiza Watanzania walionufaika kwa mikopo ya elimu ya juu kurejesha fedha walizokopa ili wengine wanufaishwe nayo pia. Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako alisisitiza hivyo hivi karibuni, alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Joseph cha Dar es Salaam waliogoma kuingia darasani kwa sababu mbalimbali.
0 Comments

Mkwasa aagiza watumishi wazembe kutumbuliwa

MKUU wa Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Betty Mkwasa, amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, kuchukua hatua za haraka kwa watumishi waliosababisha jengo la vyumba vitatu vya madarasa katika Shule ya Sekondari Wami kushindwa kutumika.
0 Comments

Monday, 7 March 2016

Ni mwaka wa Watanzania kuzikusanya tuzo mbalimbali kwenye majukwa makubwa ya burudani Africa… Baada ya Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye tuzo za AFRIMMA 2015 zilizofanyika Dallas- Texas, Marekani sasa ni zamu ya watu wetu Navy Kenzo kuiwakilisha #255 kwenye headlines za tuzo za muziki Africa.
Kundi la muziki kutoka Bongo Flevani linaloundwa na wasanii wawili, Nahreel na Aika ‘Navy Kenzo’ limechaguliwa kuwania Tuzo za muziki za Nigeria zinazoitwa Top Naija Music Awards 2015 zitakazofanyika tarehe 2 January 2016.
BOVE3
Navy Kenzo wanawania kipengele cha Kundi Bora la Muziki (Best Music Group 2015) na ni kundi pekee kutoka Tanzania kuchaguliwa kwenye kipengele hicho kwa mwaka wa 2015.
Hit Single ya Navy Kenzo ‘Game’ iliyotengenezwa South Africa na kusimamiwa na Director Justin Campos wa Gorrila Films, South Africa imeweza kufanya vizuri sana na kupenya kwenye countdown mbalimbali za Radio na Tv Africa ikiwemo chati za Trace African Charts (TraceUrban), Sound City na hata chati ya MTV Base Official African Chart.
BOVE
Makundi mengine ambayo Navy Kenzo watachuana nayo ni pamoja na Dupi 2, Connect Music Group (Cmg), Ace Republic, Dp-Kings na Betrose… na kupitia page yao ya Instagram, Navy Kenzo wamepost picha na link itakayokuwezesha kuwapigia kura moja kwa moja…
>>> Kundi bora la muziki toka #+225 Navy Kenzo la chaguliwa kuwania kipengele cha #KundiBoraLaMziki katika tuzo za #TopNaijaMusicAwards za nchini nigeria..uwanja wa kupiga kura umeshafunguliwa kura yako ni muhimu sana kwetu tunaomba ushirikiano wako.LINK YA KUPIGIA KURA IPO KWA BIO YETU... #AboveInAMinute #GameGame #ThankYouGuys #VoteVoteVoteForUs <<< @navykenzoofficial.
BOVE2
Milango ya kupiga kura imeshafunguliwa mtu wangu na ukitembelea hii link >>> topnaijamusicawards.com/vote/bestmusicgroup/ itakupeleka moja kwa moja kuwapigia kura Navy Kenzo kwenye kipegele cha Kundi bora la muziki (Best Music Group 2015).
Utaruhusiwa kuwapigia kura Navy Kenzo mara moja tu kwa siku na mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 December 2015.
Hapa chini nimekusogezea fomu ya kupiga kura utakayokutana nayo, ukifika hapo utachagua kundi la pili kwenye orodha ambalo ni Navy Kenzo.
BOVE4
BOVE5

kuvunjika kwa ndoa ya rayuu.mashehe waingilia kati

Alice Bagenzi ‘Rayuu na mumewe siku ya ndoa yao.
Stori: Mwandishi Wetu, Wikienda
DAR ES SALAAM: Baada ya uvumi kuwa staa wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ ameachika kwenye ndoa yake ambayo imedumu kwa siku nne tu huku chanzo kikiwa ni familia ya mwanaume, hatimaye mashehe wameamua kuingilia kati kuinusuru ndoa hiyo.
RAYUU (8)Februari 26, mwaka huu, Rayuu alifunga ndoa na mwanaume mwenye asili ya Kiarabu, Ahmedi Said lakini siku ya nne baadaye ulienea ‘ubuyu’ mitandaoni kuwa alitwangwa talaka tatu kwa sababu ya skendo.
Kutokana na sekeseke hilo lililoacha historia ya kipekee, mashehe mbalimbali walidaiwa kuingilia kati na kuilaumu familia ya mwanaume huyo kuwa ilienda kinyume na matakwa ya Kiislam.
RAYUU (2)Kwa upande wake, Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar, Alhad Mussa aliliambia gazeti hili kuwa ni jambo la ajabu kufanywa na Waislam kwani katika dini ya Kiislam, sababu iliyoainishwa kwenye talaka hiyo haina uzito wa kumfanya aachike kwa sababu walipaswa kubaini hayo kabla ya ndoa hivyo kuitaka familia hiyo kuweka mambo sawa haraka.
Rayuu yeye alisema kuwa alisikitishwa na mwanaume huyo ambaye alimwambia kuwa familia ndiyo iliyoamua iwe hivyo.

Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  na rapa maarufu wa Marekani, Kanye West.
CHANZO: Ijumaa Wikienda
DAR ES SALAAM: Kutoka Tandale hadi Marekani! Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  melidokezea Ijumaa Wikienda kilichojiri kwa takriban dakika 20 alipokutana uso kwa uso na rapa  kubwa duniani wa Marekani, Kanye West.
UWANJA WA NDEGE LOS ANGELES
Diamond alikutana na Kanye West kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles wa LAX nchini Marekani wakati akisubiri ndege kuelekea Las Vegas kwa ajili ya shoo na kazi zake za kimuziki.
Katika mahojiano maalum na Ijumaa Wikienda akiwa Las Vegas, Diamond alisimulia alivyokutana na Kanye West na kufanikiwa kuzungumza naye tofauti na watu wengi wanavyoamini kuwa jamaa huyo siyo mtu wa ‘kuingilika’ kirahisi.
Diamond (3)Diamond Platnumz akiwa kwenye ndege.
MAHOJIANO
Wikienda: Ilikuwaje ukaweza kupiga picha na Kanye West?
Diamond: Dah! Aisee ni kama zali vile maana sikuamini kama ni mimi mtoto wa Kimanyema nipo na Kanye West. Kwanza nilipomuona nilishtuka sana lakini nikasema piga ua, liwalo na liwe ngoja nimvae pamoja na kwamba alikuwa na timu ya kufa mtu.
Wikienda: Hukuzuiwa kumfuata na kumvaa kwa sababu tunavyojua huwa ana mabaunsa na mtu haruhusiwi kumsogelea hadi akubali mwenyewe?
Diamond: Kiukweli ilikuwa kazi sana lakini niliwafuata watu wake wakiwemo mameneja wake, nikajitambulisha ndipo wakamwambia akaitikia nimsalimie na kuongea naye.
Diamond (1)Baada ya kuwasili Las Vegas
MAZUNGUMZO DAKIKA 20
Wikienda: Mazungumzo yenu yalichukua muda gani na mlizungumza kuhusu nini?
Diamond: Tulitumia kama dakika 20 na zaidi kwa sababu naye alikuwa anasubiri ndege lakini hasa ilikuwa ni kujitambulisha, kuwaonesha kazi zangu kwenye YouTube na kuweka mipango ambayo ni mapema mno kuiweka wazi.
Wakati nauanza mwaka huu nilisema kuwa kwa Afrika muziki wetu wa Bongo Fleva umeeleweka na mwaka huu ni zamu ya
Marekani na kweli naona milango inaanza kufunguka.
Wikienda: Unaweza kudokeza angalau kidogo mlichokubaliana?
WABADILISHANA MAWASILIANO
Diamond: Kwanza ilikuwa ni kufahamiana kisha nilibadilishana naye mawasiliano hivyo naamini mambo mazuri yanakuja.
Zaidi sana ni kuhusu muziki wetu na namna ya kujipanua kibiashara.
Wikienda: Ilikuwaje akakubali upige naye picha?
Diamond: Wakati anaondoka kwa sababu alionekana kuwa na haraka, niliwaomba mameneja wake, wakaniruhusu, si unajua tena?
Nikachomoa simu yangu fasta na kugonga naye picha. Cha msingi tuombeane Mungu mambo yaende sawia.
Wikienda: Mbali na kufanikiwa kukutana na Kanye West, una program gani nyingine huko?
Diamond: Kwanza nina shoo hapa Las Vegas kisha nitafanya video ya ngoma yangu mpya na Ne-Yo (mwanamuziki wa Marekani) ambayo tayari tulishafanya audio.
WABONGO WENGINE NA KANYE WEST
Mbali na Diamond, mastaa wengine wa Kibongo waliowahi kukutana na Kanye West na kupiga naye picha ni sexy lady wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee na mwanamitindo Miriam Odema.

Saturday, 5 March 2016

MKE WA MTU SUMU;;;;;;;;;;JAMAAAA ACHEZEEEAA NYUNDOOOO

JAMAA AFUMANIWAA NA MKE WA MTUU AKILA URODAA

Habari Tangulizi
MBUNGE wa Jimbo la Sengerema (CCM), William Ngeleja, amewabeza wabunge wa upinzani wanaosusia mijadala ya Bunge akisema hukimbilia nje ili kupata nafasi ya kupumua baada ya kuelemewa na hoja za wab
 
HATIMAYE Uchaguzi Mkuu wa Marudio wa Zanzibar umemalizika na kama ilivyotarajiwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kwa ushindi wa asilimia 91.

Habari & Makala

Mwandishi Wetu
Wasomaji
2,493
Maoni
0
Toleo la 450
Ahmed Rajab
Wasomaji
1,302
Maoni
0
Toleo la 450
Mwandishi Wetu
Wasomaji
1,081
Maoni
0
Toleo la 450
Mwandishi Wetu
Wasomaji
856
Maoni
0
Toleo la 450
Joseph Mihangwa
Wasomaji
625
Maoni
0
Toleo la 450
Mwandishi Wetu
Wasomaji
563
Maoni
0
Toleo la 450
Njonjo Mfaume
Wasomaji
561
Maoni
0
Toleo la 450
Shaban Kaluse
Wasomaji
505
Maoni
0
Toleo la 450
Evarist Chahali
Wasomaji
494
Maoni
0
Toleo la 450
Maggid Mjengwa
Wasomaji
465
Maoni
0
Toleo la 450
Felix Mwakyembe
Wasomaji
377
Maoni
0
Toleo la 450
Mwandishi Wetu
Wasomaji
260
Maoni
0
Toleo la 450
Jenerali Ulimwengu
Wasomaji
2,511
Maoni
0
Toleo la 449
Joseph Mihangwa
Wasomaji
1,646
Maoni
0
Toleo la 449
Lula wa Ndali Mwananzela
Wasomaji
1,428
Maoni
0
Toleo la 449

Michezo & Burudani

Ezekiel Kamwaga
Wasomaji 305
Maoni 0
Toleo la 450
Abdul Mkeyenge
Wasomaji 421
Maoni 0
Toleo la 449

Haba na Haba Redio

Teknolojia

Makala Maalum

Vipindi vya Redio

Gumzo mitandaoni

Wa-Mexico wachoma mfano wa 'Trump'

Mkenya aliyejiweka katika picha za wengine

i y

a Spenkon

SERIKALI imesema itatoa msimamo wake kuhusu Kampuni ya Spenkon inayotekeleza mradi mkubwa wa maji katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya kujiridhisha kinachoendelea katika utekelezaji wa mradi huo.
0 Comments Read more...Serikali yachunguza kampuni ya Spenkon